4

Nauza nyumba ipo temeke



85,000 TZS Fixed
Set Price Alert

Find it expensive?

BUY NOW!

Category Multimedia | Tablets
Condition Brand New
Price Type Fixed
Contact Name: Raya O.
View Details

Nauza nyumba ipo Temeke Vertinary KKKT, nyumba ya tatu kutoka barabarani. Nyumba ina vyumba vinne vikubwa vya kulala - kimoja master, two piblic toilets, fremu mbili za biashara na kisima ya chaji ndani. Nyumba ina square meter 300. Bei ya kuuza ni 85,000,000 Mazungumzo yapo.
Raya O.

Individual

Do you have
something to offer?

POST FREE AD

Similar Products


More products from Info Bizcyclone
Individual